sio ajabu JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 217 Reaction score 138 Jun 27, 2017 #1 Habari wakuu Nipo hapa kueleza shida yangu. Mda mfupi uliopita ngoma ya sikio langu la kushoto "eardrum" nimeisikia ikitikisika/ikidunda dunda kwa sauti kubwa, hii yote ni nini? Naomba ushauri, wataalamu wa afya.
Habari wakuu Nipo hapa kueleza shida yangu. Mda mfupi uliopita ngoma ya sikio langu la kushoto "eardrum" nimeisikia ikitikisika/ikidunda dunda kwa sauti kubwa, hii yote ni nini? Naomba ushauri, wataalamu wa afya.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,172 Jun 27, 2017 #2 watakuja wajuvi.
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,829 Reaction score 3,807 Jun 28, 2017 #3 Pole mkuu. Kama hali hiyo inaendelea wahi hosp kitengo cha sikio wakucheck. Usichelewe, sikio ni sehemu sensitive sana.
Pole mkuu. Kama hali hiyo inaendelea wahi hosp kitengo cha sikio wakucheck. Usichelewe, sikio ni sehemu sensitive sana.