With all the hulla-boos hii picha ina ujumbe mkubwa,pengine bila kujua kwa aliye ichora kwa kuwa sanaa ni tafsiri ya ujumbe kusudiwa.Kwanza vyombo vya ala vilivyotumika si vya genre moja.Hilo senegalese talking drum(afrobeat),violin(neo-classical),flute(neo-classical),Maraca(Salsa),Marimba(Afro-Cuban,Salsa) etc ikimaanisha hawa jamaa hawapigi wala kucheza muziki uleule ingawa bendi ni moja...CCM..kwa hiyo kuna tunes za EPA,RICHMOND,KILIMO BORA,UJAMAA NA KUJITEGEMEA,WAKULIMA NA WAFANYAKAZI all combined together.