Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 412
Leo nimeona watoto street wakipita kupiga vile vingoma vya daku ikanikumbusa long time uswazi tulivipiga kinoma. Nimekumbuka baadhi ya mistari ya enzi hizo......embu cheki....;
Scania, wani wani wani X 2,
Scania, Mwanamboka X 2,
Na huyo kinyago wetu ooh Sada ooh, kucheza amechoka,
Kucheka amechoka ooh Sada ooh, kwa hiyo tunaondoka,
Sada kaolewa kaolewa, Sada kaolewa kaolewa......until fade!
hii nyimbo yako wakwetu ndio huwa inatumika kwenye daku?