Huu wimbo ni kila kona ya usukuma uko juu sana.Nyimbo inayokimbiza mwa sasa ya kisima inaitwa nzuki hapa katoro kila sehemu inasikika
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Nyimbo za Gude Gude na Ntemi O'Mabala ndo zimenifanya nikijue vizuri Kisukuma. Mwingine ninayempenda ni Kisima (Nyanda Majaba) ila Kisukuma chake kigumu, huwa ananiacha jangwani...Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini.
Huu uzi utakuletea majina ya wasanii na ngoma zote nzuri zinazopedwa mda Wote. wasanii kama GUDEGUDE, LIMBU LUCHANGULA, BHUNDAGALA, BAHATI BHUGALAMA, KISIMA, MAMA USHAURI, MWANAKANG'WA, NGELELA. nakuja
Usinge mtaja ngobho na shinje ,Uzi usingekua na maanaUmesahau,NGOBO na mtemi omabhala