Ngoma za mashetani na majini ambazo hutumika kutibu wagonjwa kule Bongo

Hiki kitu hata mimi kinanishangaza mno... Hata hiki cheo cha mchawi wa JF sijui kanipa nani... Natamani mno kumjua
Nafikiri ilitokana na nyuzi fulani ulikua ukianzisha zinazotoa elimu kuyahusu, JF yote wanakuogopa.
 
Huyu jamaa bado ujie lewi kabisa tatizo njaa serikali yetu ime zuia kwa kuona mila ni mbaya sio nyie mna shindwa kuondoa slums
 
Yani huyu mshkaji cjui ana utindio wa ubongo kuna vitu vingine wala c vya kuzianzishia Uzi kwa mtu mwenye akili timamu maana vipo Afrika nzima
Lets see itaendaje.
Maana si Africa, hakuna sehem yeyote dunian ambako wanaishi kama peponi, uchawi, ushirikina upo kila mahala.
 
Hivi mbona huwa unahusishwa na haya madude, nyuzi zinazoyahusu huwa lazima utajwe, Wapare niwajuavyo sio wachawi.
ohooo kuna wale wapare wamilimani hukooo!! hujawaskia wagweno ww!!! hatari sn wale πŸ˜‚
 
Watu wa hiyo kanda wamemtia adabu mpaka mzee baba walai
 
ohooo kuna wale wapare wamilimani hukooo!! hujawaskia wagweno ww!!! hatari sn wale πŸ˜‚

Wagweno nawafahamu sana, ila sio Wapare lakini wana undugu wa kiaina, lugha yao ngumu sana.
 
Nafikiri ilitokana na nyuzi fulani ulikua ukianzisha zinazotoa elimu kuyahusu, JF yote wanakuogopa.

Kuna siku alisema eti ukitaka kuona mauza uza usiku wa manane niamke kisha nichungulie chini ya uvungu wa kitanda,nikafanya hivyo,tokea siku hiyo nimemuogopa sana,ni balaa zito
 
Hawa jamaa hufikiria kwa kutumia makwapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…