NGOMA ZETU: Mchiriku jamani, balaa......


mkuu ulivyomtaja mkama sharp umenikumbusha askari mmoja wa kuitwa JITI LA MUHOGO huyo askari alikuwa mikosi sana na watoto wa mbwa uswahilini walikuwa wanamhara...hapo umenipeleka mpaka kinondoni manyanya maeneo ya msufini kwa nunda msumbufu na muhuni wa miaka hiyo marehemu HASHIM KATOBO!
 
mchiriku mnanda na mdundiko..ni mule mule?..

Umechanganya ndugu yangu mdundiko angaklau kidogo unaendana na vanga,ila mchiriku(mnanda)ni kitu tofauti kabisa
 

kama minanda yenyewe ndio hiyo hapo juu bora t5ucheze kiduku tu,maana yale mambo ya sure anavuta bangi sure,sure anakunywa gongo sure hayachezwi na mauno ni mwendo fulani hivi hahahahahaa.,namkumbuka mwalimu wangu wa shule ya msingi alikuwa Älbino analewa gongo huyo halafu anapenda mchiriku,sasa wanafunzi wakimuona wanamwambia rudi nyumbani bwana anasema siondoki mpaka ipigwe sure hahahahahah kula senks hapo umenikumbusha kmbali sana:clap2:
 
ama kweli wee mwisho
izi zamani hazitajirudia tena,nimemiss saaaaaaaaaaana kiwalani bom-bom
kijiwe-samli haki ya nani

ngoma nazipenda mbaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…