Ng'ombe amekula mfuko wa uzazi, nifanyeje?

Ng'ombe amekula mfuko wa uzazi, nifanyeje?

Mgombezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
610
Reaction score
181
Wana JF, mimi ni mfugaji na ng'ombe wangu amezaa jana alifajiri lakini nikamkuta amekula sehemu ya mfuko wa uzazi, kwa ufahamu wangu naelewa hilo huleta matatizo katika uzalishaji wa maziwa. Kama una mawazo (idea) nifanye nini, naomba ushauri wako.
 
Back
Top Bottom