Mgombezi JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 610 Reaction score 181 Apr 6, 2009 #1 Wana JF, mimi ni mfugaji na ng'ombe wangu amezaa jana alifajiri lakini nikamkuta amekula sehemu ya mfuko wa uzazi, kwa ufahamu wangu naelewa hilo huleta matatizo katika uzalishaji wa maziwa. Kama una mawazo (idea) nifanye nini, naomba ushauri wako.
Wana JF, mimi ni mfugaji na ng'ombe wangu amezaa jana alifajiri lakini nikamkuta amekula sehemu ya mfuko wa uzazi, kwa ufahamu wangu naelewa hilo huleta matatizo katika uzalishaji wa maziwa. Kama una mawazo (idea) nifanye nini, naomba ushauri wako.