Ng'ombe ana maziwa ila hatoi maziwa

Ng'ombe ana maziwa ila hatoi maziwa

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Tuna kizazi cha hovyo sana kinacho dhani kuwa ukiwa na ng'ombe ni sawa sawa na kuwa na maziwa

1719834556665.png
 
Kama unapaata maziwa yanini ufuge ng'ombe? Naomba nisieleweke vibaya, sipo kataa ndoa.
 
kama hatoi maziwa basi tumlambe bisu tumle nyama! yani namaanisha tuuzeni nchi tugawane hela
Utaishia kupata nyama na siyo maziwa- kuchinja hakukupi maziwa kutoka kwenye ng'ombe.
 
[QUOTEla="comte, post: 50653053, member: 63279"]
Utaishia kupata nyama na siyo maziws- kuchinja hakukupi maziwa kutoka kwenye ng'ombe.
[/QUOTE]
samaleko
 
Back
Top Bottom