CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Mbegu bora ya ng,ombe wa maziwa zinapatikana kwa Asas Dairies, Iringa wanatoa maziwa hadi lita sitini (60) kwa siku, huwa hawasitawi maeneo ya joto.
Mawasiliano na wafugaji wakubwa Tanzania tembelea tovuti hii:-
Kenya Dairy Sector Competitiveness Program : Dairy Trade Directory
Hope Malila is around, atakusaidia.
Duh! Kumbe JF members tuko faster kiasi hiki?
Nilidhani naweza kujibiwa baada ya mwezi hivi! Maana hii nd'o mara yangu ya kwanza kujitosa kwa ujumbe JF.
Asanteni sana. Thank you very much.
Nakaribisha majibu ya ombi langu la msingi, maoni, ushauri n.k......
Long live JF founder!!!!!!!!!!!!
Hi, jamani, nashukuru kwa michango yenu mizuri sana.
Bado nahitaji michango yenu.
Contacts zilizopo hapo juu naendelea kuzitumia. lakini wengine nd'o hivyo tena wanahusika na kuuza maziwa tu na products zake. Lakini bado naendelea kuwatafuta wadau.
Thanx!