Welcome BossInteresting
Sorry boss ni Tsh 3500/=Kg sh ngapi?
Tsh 3500/=Leta bei ya kilo
Exactly, and that's called Live weight, uzito wa ng'ombe akiwa HaiNafikir anamaanisha bei ya ng'ombe inapigwa hesabu kulingana na kg za huyo ng'ombe
Tsh 3500/= boss KaribuUngetaja ni bei ngp kwa kilo ingependeza zaidi
Tsh 3500/= bossUkiweka bei itavutia zaidi wanunuzi
Ahsante kwa Ushauri kaka, nitaufanyia kaziMkuu kama hutojali watafute wanaohusika na taasisi za kiislamu, sikukuu ya kuchinja ipo karibu! Kuna wale waturuki huwa wananunua sana!
Mkuu umemaanisha anapigwa hesabu na mavi yake??Ungetaja ni bei ngp kwa kilo ingependeza zaidi
[emoji3][emoji3]Mkuu umemaanisha anapigwa hesabu na mavi yake??
Habari,
Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni.
Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri.
Bei ni maelewano.
Tunauza kwa KG in terms of Live weight or Carcas Weight sio bargaining
Mawasiliano ni 0768625199
Karibu sana.
View attachment 2659488
Average ni Kg 200Hao Ng'ombe kwa wastani wana kilo ngapi mkuu