Ng'ombe dume 600 wanauzwa

Breed ipi?
 
Hapa bila shaka kuna mfuhaji itakuwa kataifishwa mali ake, ukisikiliza sitory utaambiwa ng’ombe aliingia kwebye reserve, Wahurumieni Wafugaji.
 
Hapa bila shaka kuna mfuhaji itakuwa kataifishwa mali ake, ukisikiliza sitory utaambiwa ng’ombe aliingia kwebye reserve, Wahurumieni Wafugaji.
Sio fair kudhania kitu kwny thread ya Tangazo la biashara
Hizi ng'ombe zilinunuliwa, kikawa fattened, zikapata treatment na umefika sasa muda zinaingia sokoni
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…