Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Hiyo nyama???? Hizo dawa je zinapatikana madukani?
Katika taarifa ya habari itv, mdau mmoja wa mifugo kasema kuna lishe ambayo ngombe huongezeka kilo 2 unusu kwa siku. Hawa ni ng'ombe wa nyama. Haya si madhara kwa mtumiaji jamani? Kwa miezi 6 anakuwa na kilo 400. Hii si sawa[HIZO DAWA ZINAPATIKANA WAPI?