Ng'ombe mmoja kuongezeka Kilo 2 na nusu kwa siku

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habari wana jf nakuombeni kujua zaidi ni wapi hizo lishe za ng,ombe mmoja kuongezeka kilo 2 na nusu kwa siku zinapatikana wapi katika mikoa ya Arusha na Moshi Natanguliza shukran
 
Nafikiri ukiwasiliana na wale jamaa sijui wapo Morogoro....wanaweza kukutumia!!
 
mkuu nijuavyo mimi hii ni aina ya ng'ombe wa nyama wenye sifa ya ukuaji wa aina hii na tena kuna wengine wanaongezeka uzito kwa kila saa 1. Ng'ombe wa maziwa au wa kienyeji hata umlishe nini hawezi kuongezeka uzito kwa kiwango hicho.
 
Du kuna hadi ng'ombe wa broiler?? Wazungu wanazidi kutujazia cancer tu africa!
 



Miezi sita atakuwa na kg 450 ?


Bei ya nyama 5,000 x 450 - (ngozi, utumbo, miguu kg 150) = 1,500,000/=
 
Du wakuu hawa watakuwa ni salama kwa mlaji kweli? Nahisi haya ndio kati ya mambo yanayotusababishia maradhi ya ajabu ajabu duniani!
 
mkuu nijuavyo mimi hii ni aina ya ng'ombe wa nyama wenye sifa ya ukuaji wa aina hii na tena kuna wengine wanaongezeka uzito kwa kila saa 1. Ng'ombe wa maziwa au wa kienyeji hata umlishe nini hawezi kuongezeka uzito kwa kiwango hicho.
mkuu umebobea sana.
 
su?mimi nilikuwa sijui hilo,watakuwa wanalishwa ARV nini?
 
jamani majibu weny kujua zaidi tafadhali sana
 
basi tunasubiri jibu. Asante Apolonary kwa kuuliza
 
 
Kuna programu ya kunenepesha ng'ombe.. analishwa majani yenye ubora.. chumvi.. sukari guru na wanpewa chanjo za minyoo na magonjwa mengine... ukiwa na mbegu bora ya ng'ombe... inawezakana kabisa... hii ni kwa mujibu wa maongezi ya na Professor Mulozi.. yuko SUA Morogoro.. na mwongozo upo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…