Ng'ombe wa kienyeji anatoa maziwa kiasi gani?

Ng'ombe wa kienyeji anatoa maziwa kiasi gani?

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,174
Reaction score
835
Ndugu wafugaji wenzangu,hivi ng'ombe wa kienyeji akila na kushiba vizuri apate na maji safi ya kunywa ana uwezo wa kutoa lita ngapi??

Nawasilisha
 
Kuna ngo'mbe Chotara tumefuga home,

Kula wanakula vizuri, Pumba, Majani n.k.

Ila maziwa sasa wanatoa chini ya lita 2.5 kila mmoja, kwa mkamuo mmoja.

Tatizo sijui ni nini?
 
Kuna ngo'mbe Chotara tumefuga home,

Kula wanakula vizuri, Pumba, Majani n.k.

Ila maziwa sasa wanatoa chini ya lita 2.5 kila mmoja, kwa mkamuo mmoja.

Tatizo sijui ni nini?
Itakuwa hawashibi vizuri kama mnawakatia majani ya ndani,mimi pia ilinitokea lakini nilivyoamua kuwachunga wanatoa hadi lita 5 kwa mkamuo.mmoja
 
nilianza kwa kufuga ngombe wa kienyeji, nawalisha majani, pumba napata lita 6 ngombe watatu ,nilikata tamaa hadi nilipounganishwa na wafugaji wa ngombe za maziwa, niponunua ngombe wa maziwa nilibiwa tena nilipewa ngombe ana lita 7 kwa siku, halafu bei milioni moja na upuzi, nilifunga safari mwenyewe kwenda tukuyu -mbeya nilikutana na wafugaji wazuri wa ngombe , saizi nacheza na lita karibu kumi na mbili kwa ngombe mmoja, naona ni ufugaji wenye faida , fuga ngombe wa kisasa , ukihitaji ngombe tafta wauzaji wazuri , pita instagram watafte hawa jamaa wanaitwa JO MBUJA watembelee huko, nenda shambani kwao utapata breed nzuri
 
Kuna ngo'mbe Chotara tumefuga home,

Kula wanakula vizuri, Pumba, Majani n.k.

Ila maziwa sasa wanatoa chini ya lita 2.5 kila mmoja, kwa mkamuo mmoja.

Tatizo sijui ni nini?
Hao wanatoa vizuri sana, kama lita 2.5 kwa mkamuo maana yake wanakupa hadi 4 - 5 lita kwa siku.
 
Back
Top Bottom