Ngómbe wa kisasa

Ngómbe wa kisasa

muheza2007

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2010
Posts
483
Reaction score
771
Wakuu,

Nataka kusaidia ndugu waanzishe ufugaji wa ngombe wa kisasa na nina maswali machache.

1. Ni ngombe aina gani wanafaa kwa Tanzania na hasa mikoa ya Nyanda Za juu Kusini?

2. Je ngómbe wa kisasa kwa Tanzania wanatoa maziwa kiasi gani kwa siku?

3. Je kuna ngómbe kama hao kule chuo cha Uyole? na bei zake zikoje kwa ndama wa mwaka mmoja?
 
Back
Top Bottom