Ng'ombe wa maajabu

Natamani kumfuga! Ila hii imetengenezwa Photoshop tu!
Great
 
Popopoooo huu ndio Mwisho wa Dunia Tumekwisha jamani turudi Kwa Mwenyeezi Mungu jamani

Huko ndiyo wapo hadi wenye ramani ya KYELA na upande mmoja sura ya Mwakyembe na mwingine Mwakipesile.
 
Sisi tulikuwa na mbuzi anasura ya Obama ubavuni tukamchinja kabla ya Obama hajachukua kiti cha Bush,ila picha za huto mbuzi bado ninazo!!
 
Sisi tulikuwa na mbuzi anasura ya Obama ubavuni tukamchinja kabla ya Obama hajachukua kiti cha Bush,ila picha za huyo mbuzi bado ninazo!!
 
Jamani eeeeee,Me am tired of being fooled,hamnielewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii??????
 
Sisi tulikuwa na mbuzi anasura ya Obama ubavuni tukamchinja kabla ya Obama hajachukua kiti cha Bush,ila picha za huyo mbuzi bado ninazo!!
tuwekee hapa live
 
hiii si ya kutengeza kweli!mambo ya editing - photoshop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…