The government have needed to educate the local community about diseases as well as to help the poor people like Maliwazo within these stories so as to leave like a rich people.
Katika Kijiji Cha Ntakoma mkoani mara,palikuwepo na Bibi mmoja ambaye alifahamika kwa jina la maliwazo.Alibaatika kupata watoto wanne, wakike wawili na wakiume wawili ambapo mumewe alimkimbia kutokana na hali ngumu ya kimaisha waliokuwa nayo.
Maliwato ambaye kwa sasa ana umri takribani wa miaka 82 alibaki nawanae wanne,akijishughulisha na shughuli ndogondogo mkoani uko ikiwa ni pamoja na kuokota kuni na kuwauzia mama ntilie,ambapo kwa kipindi hiko mzigo mmoja wa kuni uliuzwa kwa shilingi 1500, huku akiitumia pesa hiyo kununua maitaji madogo madogo ikiwepo chakula chake na wanae ili waweze kuishi.
Maliwato aliendelea kujishughulisha na shughuli zake ndogondogo hivo hivo akiridhika na kile anachokipata, lakini jitiada zake alitamani Sana awasomeshe wanae,japo jitiada zake ziligonga mwamba, kwani pesa alizokuwa anapata aliishia tu kuudumia familia kwa chakula.Watoto wake waliridhika na maisha aliokuwa nayo mama yao hivo walikuwa kwa shida Sana uku wakiandamwa na maradhi mengi likiwemo la Malaria kwani walikuwa Awana elimu yoyote kuusu usafi wa mazingira, majani yaliota Hadi mlangoni mwa nyumba yao uku wakiwa wanajisaidia nyuma ya nyumba kutokana na kutokuwa na choo, nzi waliongezeka sana nahatimaye watoto wake wawili akiwemo idrisa na zakia kufariki kwa ugonjwa wa kipindupindu.
Maliwato aliumia Sana Kutokana na mateso aliyoyapata katika kuwalea wanae hatimae kufariki na kubaki Aisha na Robsoni, akukata tamaa kwakuwa watoto wake walikuwa wameshakuwa wakubwa, Aisha akiwa na miaka 8 Na Robsoni miaka kumi alienda nao porini kutafuta kuni ili wauze wapate pesa zakujikimu.
Robsoni alipofika umri wa miaka 14 aliamuwa kuondoka nyumbani kwao nakwenda jijini Dar es salaam kutafuta pesa zakumsaidia mama ake na mdogo wake, japo alipoondoka nyumbani kwao alikuwa ajui wapi anaenda kuishi wala kufanya kazi. Alikuwa na shilingi elfu 25 tu ambayo aliitunza kipindi anauza kuni na mama ake hivo pesa hiyo hiyo aliitegemea imsaidie nauli pamoja na kula adi atakapofika jijini Dar es salaam.
Robsoni Alimuaga mama ake na mdogo wake Aisha kwa furaa akiwaakikishia kuwa atarudi kuja kuwachukua siku moja na wataishi vizuri Sana apo baadae, Mama ake alilia kwa uchungu kutokana na kutengana na mwanae kwa mda Lakini "Waenga wanasema Jambo usilolijuwa ni Kama usiku wa giza"ndivo ilivyokuwa kwa Maliwazo ambapo
Akujuwa ndio mwisho wa kumuona mwanae Robsoni katika ulimwengu huu uliojaa shida na taabu.
Robsoni aliondoka siku ya aliamisi asubui na mapema Akielekea stand kupanda gari la kuelekea Dar es Salam,na alipofika tu stand kwakuwa ilikuwa mapema Sana alikata tikety na kusubiri mda ufike wa yeye kuondoka , na mda ulifika na kupanda gari kuelekea jijini Dar es salaam.
Njiani Robsoni akula kitu, kwani pesa alokuwa nayo ni ndogo hivo gari liliposimama abiria kupata lunch yeye akushuka alibaki tu kwenye gari kusubiria Hadi warudi ili waendelee na Safari yao.Mnamo saa Kumi na mbili Jioni Gari lilifika Jijini Far es salaam ambapo Robsoni alikuwa ajui wapi atalala kwa usiku uo ilikesho take aangaike kutafuta kaz, Ndipo aliposhuka kwenye Stand ya Ubungo na kuanza kushangaa shangaa, jamani simnajuwa ushamba Tena.
"Mungu sio Athumani, Alitokea kijana mmoja ambae alijitambulisha kwa jina la Frank na kumuuliza Robsoni mbona unashangaa shangaa apa stend kijana, ndipo Robsoni alipomuelezea maisha take alisi na alipotoka kuwa anatafuta kazi ajui wapi atalala, ndipo Frank alipomuurumia na kuamuwa kumchukua na kumwambia waende kwake alale alafu kesho yake atampatia kazi.
Walifika nyumbani kwa Frank Ambapo alikuta ni jumba zuri la kifahari, Robsoni kwakuwa no mshamba alibaki kushangaa Tv kwakuwa akuwai kuona toka azaliwe. Frank alimuita mkeo ambapo walibarikiwa mtoto mmoja,Nakumpa utambulisho wa kijana Robsoni ambapo mkeo Anitha, alitaka kumkataa Robsoni kwa jinsi alivokuwa mchafu, nakusema"Kijana gani umetuletea mme wangu mchafu hivi sijui Kama atamaji amewai kuyaona: Kwanza ananuka unataka aje kuniaribia mtoto wangu Judithi nae awe mchafu? Lakini Frank alimtuliza mkeo na kumwambia huyu anamakosa nakama ni tatizo la usafi basi ataoga na nitaenda sasa hivi kumnunulia nguo hivo atabadilika tu nakuwa msafi cha msingi msimnyanyase ajisikie vibaya.
Robsoni yeye alionekana mkimya mda wote akujibu kitu kwani alisisitiziwa na mama ake awe na adabu uko anapokwenda,asiwe mjeuri kwawatu wasijekumfanyia vibaya kwakuwa ni maskini.Basi Frank alimwambia Mkeo amuandalie maji Robsoni yakuoga,yeye anatoka kwenda kumtafutia nguo Alafu atarudi.Baada tu Ya Frank kutoka mkeo Anitha alighairi kumuandalia Robson maji ya kuoga Naakaishia tu kumuonesha bafu lilipo, Lakini Robsoni akujali akajipa moyo Mimi no mtoto wa kiume alfu uku nikwawatu inabidi nifocus nakilichonileta.
Robsoni aliingia bafuni na kuoga maji baridi,nakujifunika kwa Taulo : nakwenda kukaa sebleni akisubiri kuoneshwa chumba atakacholala.Baada yakuoga akiwa amejifunika Taulo alikuja Anitha mke wa Frank nakumpa chakula na juice aina ya Mango:Ambapo aliendelea kula taratibu Hadi aliporudi Frank akiwa amebeba mfuko , ambapo alipokelewa na mkeo na kumpa Robsoni.
Baada ya Robson kumaliz kula alioneshwa chumba cha kulala uku Frank akimsihi awe na nidhamu kipindi chote atakachokaa kwake kwani wanamchukulia Kama mtoto wao,baada ya hapo Robsoni alielekea chumbani kwake nakujaribisha nguo na alipoona zinamtosha alirudi sebleni kumshukuru Frank na Anitha kwa ukarimu wao na kurudi kulala.
Kesho yake Robsoni aliamka mapema sanakwakuwa ilikuwa nidesturi yake,na kuanza kumwagilia mauwa ambapo Frank alifurai San alipoamka na kukuta kijana alishaamka na kumwagilia mauwa yaliyondani ya nyumba yao.
Mkeo alitengeneza breakfast na baada ya hapo Robsoni akaonyeshwa vyumba vyote vya yeye atakapokuwa akifanya kazi,ikiwemo jikoni. Robsoni alipewa kazi za ndani japo kupika atasaidiwa na mke wa anitha,yeye ni usafi tu, nakuambiwa mshahara kwa mwezi ni elfu hamsini.Robsoni akukataa alikubali kwakuwa alikuwa anakazi nyingine yakufanya, alifanya kazi vizuri na mke wa Frank alimsifu kwa kujituma kwake.Hivo walimnnunulia kila kitu ikiwemo nguo na pesa alokuwa akipewa alikuwa anaiifadhi.walimpandishia mshahara Hadi kufika laki moja kwa mwezi Jambo ambalo lilimfurahisha Robsoni.Alibadilika baada tu ya miezi miwili Robsoni alinenepa Sana na jinsi alivyokuwa mweupe kiasi basi alivutia Hadi mke wa Frank kuanza kumtamani.
Nyumbani kwao ambapo alimuacha mama yake Maliwazo na mdogo wake Aisha waliendelea kuidhi maisha magumu, ambapo siku moja Maliwazo akiwa anaokota kuni yeye na mwanae Aisha Walichelewa Sana kutoka porini Hali iliopelekea giza kuwakuta na wakiwa wanatembea kurudi nyumbani, Maliwazo alikanyaga nyoka Aina ya Black mamba ambapo aliisi maumivu makali na kushindwa kuendelea kutembea, na hatimae kuketi chini hivo Aisha alikimbia nyumbani kwakuwa palikuwa sio mbali Sana na kumuita jirani yao mmoja ambaye nae alikuwa mzee , Pascal iliwaje kumbeba lakini alipofika alimkosa Pascal na kuamuwa kuita na kumtafuta ndipo baada ya robo saa Pascal alikuja na kumkuta Aisha analia ndipo alipomuelezea kilichomkuta mama ake na kuamuwa kuelekea msituni uko alipomuacha.
Waenga wanasema 'Ngombe wa maskini azai na Akizaa uzaa Tasa'Walifika na kumkuta mama yake ameshafariki kwani mwili wote umegeuka kuwa mweusi, Hali iliomfanya Aisha kulia hadi kuzimia,Pascal alipata kazi ya kumbeba Maliwazo hivo hivo Hadi nyumbani kwake,na kumrudia Aisha ambae bado Fahamu zilikuwa azijamrudia, ikapita masaa mawili ndipo Aisha alipozinduka na Pascal kumtia moyo na kunyamaza Julia lakini kutokana na Umaskini waliokuwa nao waliamuwa kumzika kesho take nyuma ya nyumba yao.
Aisha alikaa kwa Pascal muda wa miaka miwili toka aachwe na mama take mzazi uku akiwa bado ajamuona kaka yake machoni toka alipoondoka alilia lakini alikumbuka kuwa alisema siku moja atarudi nao wataishi vzuri alijipa moyo nakunyamaza Julia.
Aisha alipata Afya nzuri japo alikuwa katika maisha magumu , hali iliopelekea mzee Pascal kumtamani Aisha kimapenzi. Siku moja Aisha akiwa amelala mzee Pascal alimfata chini alipokuwa Aisha na kumshika kwenye matiti, ndipo Aisha Aliporuka kama mtu aliekanyaga Nyaya ya umeme na kumpamia mzee Pascal nakuanguka chini,Ndipo Mzee Pascal akujali na kumwambia Aisha anataka kulala nae na endapo atakataa Basi atamuuwa na kumzika alipomzika mama yake.

Attachments
Upvote
2