Natafuta Ng'ombe wa maziwa prefarably anayefugiwa ndani ya Pwani (Dar, Kibaha, Bagamoyo) ambaye amezoea hali ya hewa hiyo. Mwenye mimba, na asiwe mzee.
Mwenye tips anistue au abandike contacts hapa tafadhari
Ni kweli atoe ofa mana kazi ya kwenda kuchungulia mazizi ya watu si ndogo, tena aseme na breed aitakayo pamoja na umri wa mimba, capacity ya maziwa aitakayo, na idadi ya ngombe niunganishe dots...