Ng'ombe wakubwa aina hii sijawahi waona nchini Tanzania

Ng'ombe wakubwa aina hii sijawahi waona nchini Tanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania. Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka.

Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania.

1723046428011.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania

Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka

Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania

View attachment 3063985
Tuambie safari yako ndefu ilikua wapi hadi wapi ili tujue hujafika eneo gani Tanzania
 
Nyankole mbona wapo Sana, tembea uone
 
hayo mapembe kwani yanaliwa

hiyo mbegu ni hovyo kibiashara ndugu inaitwa ankole nafikiri
 
Hao sio wakubwa sana kwa maana ya wingi wa nyama
Hao wana mapembe makubwa tu

Kuna ng’ombe ni wakubwa balaa
 
Back
Top Bottom