Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Huyo ng'ombe sii mkubwa ila mapembe yake ndio makubwa.Wadau hamjamboni nyote?
Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania
Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka
Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania
View attachment 3063985
Tuambie safari yako ndefu ilikua wapi hadi wapi ili tujue hujafika eneo gani TanzaniaWadau hamjamboni nyote?
Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania
Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka
Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania
View attachment 3063985
Wewe utakuwa hujatembea Tanzania hii! Ankole mbona wapo wengi tu wenye rangi kahawia?Wadau hamjamboni nyote?
Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania
Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka
Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania
View attachment 3063985
Hawapatikani kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetuWadau hamjamboni nyote?
Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania
Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka
Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania
View attachment 3063985
Mseveni aliwahi kuwaleta Tanzania kwenye msiba wa Mwalimu Nyerere kama sikoseiWadau hamjamboni nyote?
Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania
Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka
Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania
View attachment 3063985
Wapo bongo?Kuna Ng'ombe waliochangwanywa mbegu na nyati balaa, ni wakubwa sana na ni warefu kwa kimo.
NdiyoWapo bongo?
Wapo wengi tu nadhani bado hujatembeaWadau hamjamboni nyote?
Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania. Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka.
Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania.