Ngome Fc yakanusha kufungwa 6-0 na Simba

Kutokukamilika kwa taarifa ndo kunahalalisha wamefungwa goli hizo? Halafu kwanini uamini wakisemacho Simba na hutaki kuamini wakisemacho Ngome?
Nami nikiandika barua kama hiyo ambayo haina muhuri halafu nikaandika tumefungwa 6 - 0 na Simba.
Utaamini ipi?
 
Inawezekana kuna kitimu kingine walichocheza nacho kina jina ilo la ngome fc!!! Kule mitaani vipo vitimu vingi vyenye majina ambayo sio rasmi na sishangai Simba kuokoteza vitimu vya mitaani uko na kucheza navyo mazoezi ili na wao waonekane wamekuwa hatari kufumania nyavu maana kwenye taarifa yao awajasema ni timu ya wapi na inacheza ligi gani, Wao wamepost in short ''Tumecheza na timu ya ngome fc leo na tumeshinda goli 6-0''
Sasa watoke mbele waseme ni timu ipi iyo na inacheza ligi gani ili Ngome wenyewe wajue sio wao waliotajwa simple and clear!
 
Inasemekana wamecheza na 'SUB' ya Stransit Camp ambayo inatumia jina la Ngome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…