Paddy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2010 Posts 473 Reaction score 341 Nov 2, 2010 #1 Sumbawanga mjini, nkasi kaskazini na nkasi kusini kote ccm imepita kwa tofauti ya kura 1000. Hakuna marefu yasiyokua na ncha, CCM MUST DIE!
Sumbawanga mjini, nkasi kaskazini na nkasi kusini kote ccm imepita kwa tofauti ya kura 1000. Hakuna marefu yasiyokua na ncha, CCM MUST DIE!
payuka JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 829 Reaction score 127 Nov 2, 2010 #2 Hawa jamaa walishaonyesha dalili za kucheza rafu tangu kwenye chaguzi zao za ndani, wao kwa wao walinyimana haki!
Hawa jamaa walishaonyesha dalili za kucheza rafu tangu kwenye chaguzi zao za ndani, wao kwa wao walinyimana haki!
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 2, 2010 #3 Mbona tulisikia Chadema imeshinda Sumbawanga Mjini............................What is happening now..................
Mbona tulisikia Chadema imeshinda Sumbawanga Mjini............................What is happening now..................
S Soda Member Joined Nov 2, 2010 Posts 17 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #4 CCM imeshinda kuna wakubwa CCM walitaka Sumbawanga mjini ichukuliwe na Chadema imeshindikana. CCM iko juu:smile:
CCM imeshinda kuna wakubwa CCM walitaka Sumbawanga mjini ichukuliwe na Chadema imeshindikana. CCM iko juu:smile: