Ngonjera ya Nyoka Kuvua Gamba (YouTube)

Mkuu, imetulia lakini mbona umeibania, hutaki tusambaze ujumbe huu maridhawa.
 
Sasa nani asikilize kama umeibana hivi? Utamwelimisha nani? Just spill the beans!
 
Mimi nimkuelewa vizuri sana, kwa ufupi nyoka akivua gamba atabakia kuwa nyoka yule yule usije jidanganya ukamuendekeza eti kisa kavua gamba.
 
Jamani watu wengine hadi mnataka tuondoe kabisa maana ya fasihi?
 
Nimekupata Mzee,ni sawa na msemo usemao mtoto wa nyoka ni nyoka, usimsogelee atakuuma pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…