ngono husababisha magonjwa ya zinaa 23.

ngono husababisha magonjwa ya zinaa 23.

GIB

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
336
Reaction score
92
Wandugu je wajua ngono zembe inasababisha lundo lamagonjwa na Baadhi yake ni kama vile kisonono, kaswende na Ukimwi. magonjwa hayo yanasababishwa na mtindo wa maisha ambapo ngono imefanywa kama starehe na ni sawa na mtu anayekunywa pombe au kuvuta sigara.
 
Ina maana katika maisha yako ya miaka 40, leo ndio umegundua hilo? Mbona umechelewa sana!!
 
Back
Top Bottom