Wandugu je wajua ngono zembe inasababisha lundo lamagonjwa na Baadhi yake ni kama vile kisonono, kaswende na Ukimwi. magonjwa hayo yanasababishwa na mtindo wa maisha ambapo ngono imefanywa kama starehe na ni sawa na mtu anayekunywa pombe au kuvuta sigara.