ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Naamini wewe unayesoma habari hii utakubaliana nami kuwa ngono kinyume na maumbile limekuwa ni jambo linaloongoza katika maongezi na ushawishi kwa kasi kubwa katika jamii yetu pasipo kujali rika kiasi kwamba katika mitandao ya kijamii, "makundi ya watsup" yameundwa kwa ajili ya ushawishi na biashara ya ngono kinyume na maumbile.
Naombeni kuuliza ni nini chanzo cha hamasa juu ya ngono kinyume na maumbile hasa kwa watu wa jinsi mbili tofauti. Nisaidieni, niambieni ukweli kwani naona hali sio nzuri 😭
Naombeni kuuliza ni nini chanzo cha hamasa juu ya ngono kinyume na maumbile hasa kwa watu wa jinsi mbili tofauti. Nisaidieni, niambieni ukweli kwani naona hali sio nzuri 😭