SOKETI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 206
- 50
Wana Jf, kuna usemi wa kingereza unaosomeka:- always women give sex to get love while men give love to get sex. Je kuna ukweli wowote. Kwa mawazo yangu naona wanawake kutokana na usemi huo ndio wamekua wakichukulia kufanya ngono kama kipimo na silaha ya kuimarisha upendo kwa wenza wao. COMMENT.