Ngono kipimo cha mapenzi

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Wana Jf, kuna usemi wa kingereza unaosomeka:- always women give sex to get love while men give love to get sex. Je kuna ukweli wowote. Kwa mawazo yangu naona wanawake kutokana na usemi huo ndio wamekua wakichukulia kufanya ngono kama kipimo na silaha ya kuimarisha upendo kwa wenza wao. COMMENT.
 

Yap! Wengine hulaumu juu ya size ya jinsia ya mwenza wake, hukosa radha!
 
Mkuu hebu iratibu vizuri thread yako, binafsi sijakuelewa!
 
Inategemea na uhusiano ni wa aina gani? Kwani sio wapenzi wote wanaoipa ngono nafac kubwa na wale wanaoipa nafac kubwa matokeo yake ndo yanakuja kuwa hayo
 

Binafsi sitaki kuamini kua ngono inaimarisha mapenzi japo kwapande zote ndivyo wat wanavyoyachukulia mapenzi kua ningono.kimsing mm naamini kwa wale wanaofanya ngona kua ndio inayoimarisha mapenz alimia kubwa ndio wale wasiodumu katika mapenz yao.fanya tathmin utapata jib.
 
Ni mtazamo tu, inategemea na mtu personally anavyolichukulia.
 

well said.. sex ina percnt kbwa xana katka luv.!!! Reltnshp kuvunjika coz of money ni mara chache bt b'coz m2 afkishwi kunako ts a ussul thng cku hzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…