Ngono kipimo cha mapenzi

Absolutely right, angalia kwa watu waliochokana tayari na ambao hakuna mapenzi tena kati yao, hata kupeana chakula cha chumbani ni kwa mbinde. kwa wanopendana ni dhahiri kuwa watakuwa wana furaha kukutana faragha na kufanya tendo la ndoa, na tendo la ndoa hudumisha na kuongeza ukaribu kwa wanandoa, kwani ni hapo ambapo wapendanao huwasiliana kwa hisia za moyoni hasaa. Therefore kwa maoni yangu binafsi "TENDO LA NDOA, aka NGONO" ni mojawapo ya vipimo vya mapenzi.

I stand to be corrected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…