Ngono kwa kupitia mdomo inasababisha Saratani

Hamna kitu kama hiyo wewe, tusitishane hapa kwanza nzi kufia kwenye kidonda ni halali yake na siachi sasa!! 😀😀😀😀
 
Chungu kwenye tamu!wenye masikio na wamesikia kikubwa kuzingatia'tafakari chukua hatua!
 
Cancer ipo na inaua na asilia kubwa wanaoshikwa na hii ni wanywaji wa pombe kali mara kwa mara pasipokuchanganya na kitu chochote. Ila na wazama chumvini tuwe makini especially wale wanaomeza yale maji maji yanayopatikana kule, bora kuyatema....
 
Walamba chumvi wote wafe tu...
 
Hamna kitu kama hiyo wewe, tusitishane hapa kwanza nzi kufia kwenye kidonda ni halali yake na siachi sasa!! 😀😀😀😀

Hamna anayekutisha mkuu, Unapewa taarifa tu. Mbona denda linatosha sana
Huko kwingine tumia ulichopewa...
 
Je kondom za mdomoni hazijaanza kuuzwa huku Bongo? Hii inaweza kuwa fursa kwa wasambazaji kuzileta. Kufa, kufaana! Hii kansa, pamoja na ya utumbo mpana, zimeshika kasi huko huu uchafu ulipoanzia.
 
chapa ilal hyo,watajuaje na sisi wa mjini,ijapokuwa tulikuja na gari la mkaa mjini hapa
 
ngoja niingie mtaani, kutafuta hilo gari, ila kama mnatafuta mtu wa kumuweka lock up, wallah hamnipati, shenzi
 
Watu wa uvinza haoo, kufata madini... Hizi BJ zitawafikisha kaburini. Kuna watu wana mba huko nyie mnapeleka vinywa vyenu huko. Mtakufa.
 
Binadamu tumejaliwa viungo mbalimbali kwenye miili yetu, kila kiungo kina kazi yake maalumu, sasa pale control inapokosekana watu kukosa utu na utashi kwa kutumia viungo vingine vya kulia chakula kufanyia ngono, kutolea uchafu mwilini kuwa njia za kuingiliana. Viungo maalum vya mahusiano vina kinga yake, lakini hivi vya kulia chakula si unameza vijidudu moja kwa moja tumboni?
 
Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini umeonyesha asilimia 20 ya saratani ya koo husababishwa na ngono ya mdomo maarufu kama ‘Oral Sex”.

Utafiti huo unaonyesha saratani ya koo licha ya kuambukizwa na njia mbalimbali ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye pilipili,

pombe kali, vitu vyenye uchachu pamoja na kurithi kutoka kwa wazazi.

Utafiti unaonyesha watu wengi hasa vijana wanamejiingiza kwenye vitendo hivi vya kufanya ngono wakitumia midomo hasa ndimi, hivyo kuhatarisha uhai wao.

Katika utafiti huo wa hivi karibuni, ulibaini wanaume 747 na wanawake wakiwa 472 hugundulika kila mwaka kuwa na saratani hiyo huku wanaopoteza maisha kila mwaka ni wanaume 444 wakifuatiwa na wanawake 270 kutokana na ugonjwa huo.

Utafiti unabainisha kuwa asilimia kubwa ya vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 45 wanatumia staili ya kuwanyonya wenza wao sehemu za siri lengo likiwa ni kuwavutia wapenzi wao katika kushiriki ngono.

Vijana wenye umri huo ndio wahanga wakubwa kwa sasa kutokana na ugonjwa huo kuonekana kuwaathiri kwa kasi, huku wengi wakiwa hawajui athari zake. Baadhi hujisifia kwamba ni wajuzi, kumbe wanajitafutia kifo kwa kufanya vitendo hivyo.

Utafiti unaonyesha kwa watu wazima walio wengi hawana muda wa kufanya hayo wanayofanya vijana, hivyo kujikuta angalau wanakuwa salama na kupatwa na saratani ya koo kwa njia hiyo inayoonekana kama ni chafu pia.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Crispin Kahesa anasema saratani ya koo ni ya pili katika mtiririko wa saratani zinazowapata wanaume nchini, ikiongozwa na ile ya ngozi (Karposi’s Sarcoma) ambayo huambukizwa kwa njia ya kujamiana. Kuna saratani aina zaidi ya 24 zinazoisumbua Tanzania.

Anasema mbali na staili hiyo pia, kuna baadhi ya watu hupata saratani ya koo kwa kurithi kutoka kwa wazazi wao na wengine kuwa na umri mkubwa ambao huchangia kupata tatizo hilo, lakini siyo kwa asilimia kubwa kama ile ya ngono ya mgomo.

“Hali hii ya vijana wenye umri huo kuwanyonya wanawake inatokana na ujana, wengine wanaiga kwenye mitandao, lakini mambo haya hayakuwepo zamani tofauti na sasa, utakuta wanaume ili aweze kumvutia mwanamke anamfanyia hivyo sehemu za siri, lakini zamani staili hii haikuwepo kabisa,” anasema Dk Kahesa na kuongeza.

MWANANCHI
 
Mnaopenda chumvini na kuimba chorus na mick imekula kwenu.
 
!
!
it is not always the case, sio hatari kiiiivyo bana, ningeshakuwa marehemu. Acha kutishana.
 
haya wanaopenda chumvini kumbuka kuvalisha ulimi wako kondom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…