Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,266
- 1,264
Im sory to say this, mnaweza niambia hayanihusu, but kuna vitu vinatia kichefuchefu jamani! Naenda toilet ya ofisini, nasikia strange noise kama vile watu wanafanya mapenzi. Nakuwa siamini nisikiacho, nasukuma mlango nakuta umefungwa. Narudi ofisini kusubiria kidogo, ile narudi tena anatoka mwanaume choo cha kike, namuuliza we vipi huku mbona sio kwako?Anajibaraguza na kuondoka.
Nasukuma tena mlango nakuta umefungwa!Hee, mara anatoka mwanamke uso mkavuu!Hivi kweli jamani kwa nini maofisini kuna hizi tabia chafu?Kibaya zaidi wote ni wanandoa, I mean mwanaume ana mke na mwanamke ana mume!
Hii ni tabia chafu sana na ipo kwenye maofisi mengi.Haaya mambo yanafanyikaga sana kwenye vyoo vya bar, kumbe hata kwenye maofisi ya serikali yapo! Loh!Ivi kweli binadamu tumekuwa kama mbwa?Cha ajabu tena watu wasomi?
Guys leo nimekasirika sana, kibaya zaidi ni watu wazima sana kwangu I wish to talk to them niwaonye ila najua watanimind.
Its not my business but this is not good!