Ngono maofisini

Haahaahaaaaaa! Halafu kuna jama humu anatoa desa la kuwasha mishumaa na madoido kibao, sijui kama inaweza ku-apply kwa hawa wazinzi wa chooni....
 
washamba na wapuuzi wakubwa huku duniani.what is so special na sex kwanza upuuuzi mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Smiley sex is special, just not the kind they are doing.
Wanachofanya hao ni kujizalilisha na kudharaulisha wenzi wao. Alafu eti kuna watu utasika wakisema mwenzako anaweza akacheat na bado akakuheshimu na kukupenda. Kama kwenda kuparangana chooni huko ndo kupeana heshima na kupendana basi wengine tutabaki kuwa watazamaji tu.
 
Muhinda,
Ni kweli wengi kwenye ofisi zao ni wkt wa lunch , kuanzia saa 6-8 mchana. Yaani ni hatari tupu. Halafu hizo za chapu chapu sijui kama wanatumia kinga jamani. Eheeeeeeeeeeee Mungu Tuhurumie.
 
Hii issue sidhani kama imetokea kweli!! Siamini, weka picha.
 
Unajua vyoo vingi bongo vinanuka. Sasa hapa najiuliza hao watu wanaodinyana chooni hiyo harufu huwa haiwakwazi au ndo mambo ya mzuka wa kimapenzi. Kwamba mzuka ukipanda husikii, huoni, wala hunusi kitu mpaka ukate kiu chako....?
 
Nzi hachagua kidonda.
Na mtu kama hana staha kiasi cha kutumia muda anaotegemewa kufanya kazi, kungonoka na mfanyakazi mwenzake ilhali ana mume/mke nyumbani, sidhani kama kinyaa na staha vinamhusu. Hao ndo wale unasikia wamekutwa kwenye gari na picha wakapigwa. Hawana control. . . .
 
1.Ofisini baada ya watu wote kutoka na mmebaki wawili na hakuna uwezekano wa mtu kurudi hapo sawa WATU WANAASI.
2. Toilet ya ofisi??? halafu staff bado wapo kazini halafu mnahema kwa sauti hadi ukawasikia,,halafu ni watu wazima???
3. Hii ya toilet za bar jinsi ulivyo iunganisha inaniacha hoi.......
Kimsingi watu wanafanya haya mambo(WASHINDWE NA WALEGEE) ila NASHINDWA KUAMINI KUWA ULIWAKUTA OFISINI KWAKO WAKIWA CHOONI WAKITENDA DHAMBI.
 
Unajua vyoo vingi bongo vinanuka. Sasa hapa najiuliza hao watu wanaodinyana chooni hiyo harufu huwa haiwakwazi au ndo mambo ya mzuka wa kimapenzi. Kwamba mzuka ukipanda husikii, huoni, wala hunusi kitu mpaka ukate kiu chako....?

Starehe haina adabu...popote pale twende kazi
 
Siku nyingine waambie wakaoge kwanza kabla ya kuingia ofisini, halafu muwe mnasalimiana kwa kupeana tano maana dah.
 
Unajua vyoo vingi bongo vinanuka. Sasa hapa najiuliza hao watu wanaodinyana chooni hiyo harufu huwa haiwakwazi au ndo mambo ya mzuka wa kimapenzi. Kwamba mzuka ukipanda husikii, huoni, wala hunusi kitu mpaka ukate kiu chako....?
Licha ya kunuka vyoo vingi bongo hasa vya ofisini kinakuwa kichumba kidogo kiasi cha watu wawili mnabanana lakini bado hawa wakagundua kuwa panafaa kwa starehe ni ISSUE.
 
Kweli hii ni tabia mbaya...hata kama una mhemko kiasi gani yanini kuning'inizana kwenye public toilets. Kwanza mtu ukimaliza tendo unatakiwa uoge/jisafishe na kuwa msafi. Tamaa hizi zinatumaliza halafu haina faida yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…