Ngono maofisini

Hao wanao fanya chooni bado wanajihesimu sana mana wanafunga mlango na lock, hakuna anaye waona....Kuna wengine wanafanya kwenye ma bus na abiria wamejezana.

Dogo mara ya pili usisukume mlango, mlango hauna kosa.
mmh kwenye mabasi jaman? kbs? mh sidhan jaman.
wa2 kama wanaweza kufika uko.
 
kunaa jamaa mmoja,ni mkuu mkuuu wa hii hiii nchiii....x kiongozi,yeyeee alikuwaa anawashuhulikiaa videmu ofisini kwake,anafungaa mlango anamwambia secretary no vister allowed,jamaa anamengaa humo humo adiii kitandaa cha kupumzikaa kipo ofisini kwake na sio mmojaa wako wengi sanaaa,pia kuna pastaaa kilikutwaa kitanda ofisini kwake etii cha kujipumzishaaa.waaaaaaaaaaaaaaaaalaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Kibaya zaidi watu wenye tabia chafu namna hii hata kinga hawatumii
 

Mi naona hao wenye ndoa zao ndio most likely kumegewa vyooni, maana wote hawana nafasi baada ya kazi...

Kama hana ndoa atakupeleka kwake au atakwambia muende nyumba ya kulala wenyeji
 
Watu wazima hovyoooo................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama nafsi zetu zingekua zinaongea zingetuumbua wengi. Nina imani hapa wengi tumeshafanya ama tuliattempt kufanya ngono/vitendo vya ngono katika sehemu ambazo ni ngumu kuamini. Kwa kuwa nafsi haziongei bali vidole vyetu ndo vina interact na keyboard basi wote twakemea hapa, lakini laiti kama nafsi zetu zingechukua nafasi ya vidole katika keyboard hahahaha hao wa chooni wana nafuu...
 
WASHAMBA HAO.KWANZA HUYO MWANAMKE MKE WA MTU UNASALITI NDOA YAKO KWA KUJIRAHISI HVO,CHOONI ? TENA CHOO CHA OFSINI? SASA HAPO ANAFAIDI NINI? NI MIHEMKO GANI IYO ALIYONAYO?

MIMI HATA HOTELI YA TSH SILALI

UPUUUZI MTUPU
WAPAMBE MSINIJADILI:focus:

Ya USD utalala ama tufanye ya EURO. Hapo kwenye red hapoooooooooooooo!
 
hata kama wana ukame kama wa wafungwa still chooni ktk eneo lako la kazi stim hazipandi!
Wewe wasema! Wengi wameshafanya na bado wengine wanafanya. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Hasa na hizi interent na messenger za yahoo na nini sijui. Unamtumia mfanyakazi mwenzako site ya hayo mambo ya kikubwa naye anaangalia then zinawapanda mnaamua kukata kiu yenu.
Kusema ukweli ni wengi wanafanya! We hizi meza za ofisini zi nalegezwaga na nini? mabosi wanajifanya kuwapangia kazi masecretary wao ili wachelewe then we rudi tu ghafla! Salaaaaaaaaaaaaaaaale mlango wa bosi umefungwa na hata mara nyingine husahau kufunga mlango. wanasema ngono katika mazingira tofauti huwa inanoga sana. Kwa mfano ku do juu ya meza badala ya kitandani! Kwenye sebuleni ama bafuni badala ya chumbani. Kila mtu ana lake. Halafu huu ustaarabu mwingine utawaletea balaaaaaaa jama. Mkiingia kwenye shughuli hii vaeni sura zenu za uhalisia! Binuka, judo, sarakasi, chungulia mvunguni, yaani we ni fujo tu! Ukijifanya mstaarabu unampa mwanya kujaribu fujo nje! Fujo zenu zitawasaidia kutoka nje iwe ni hadithi! Kama watoto wanawawekea kiwingu si muwape fweza kidogo wakale corns pale kwa bakhresa wakirudi nyie wepesi! Kifupi tusiogopane kupeana hata stail uliyoisikia na ukatamani ifanye na mke/mumeo. Hakuna kujihisi kuwa mwenzio atakuona mhuni! Fikiria sasa umetaka kujifanya sio mhuni halafu unafumaniwa guest na mme/mke wa mtu kisa ni kastail kapya unapractice.
 
Mi naona hao wenye ndoa zao ndio most likely kumegewa vyooni, maana wote hawana nafasi baada ya kazi...

Kama hana ndoa atakupeleka kwake au atakwambia muende nyumba ya kulala wenyeji

You are probably right.
 


Basi MEZEA!
 
Wanaangalia ngono kwenye internet zikiwaka moto wanaenda kuzipoza ch.ooni....
 
Kuna linjemba mmoja mh lichafu kweli lianapita maofisi ya watu jioni ku wa do madada na ofisi yake pia ni balaa.
Madada zetu jiheshimuni hasa wewe unaye ruhusu hayo mambo!
 
Tena maofisi mengi makubwa tu wanaweka condoms chooni, sasa naoan wengine wanahamua kuzianzia hapo kwa majaribio. Niliingia choo cha shirika moja la hifadhi linaanza na P........... nikakuta condoms kibao.
Au huyo dada anafanya biashara?
 
Tena maofisi mengi makubwa tu wanaweka condoms chooni, sasa naoan wengine wanahamua kuzianzia hapo kwa majaribio. Niliingia choo cha shirika moja la hifadhi linaanza na P........... nikakuta condoms kibao.
Au huyo dada anafanya biashara?

Lakini sehemu ya kazi utawekaje condom dispensers vyooni?

That's first class bullshit and chicken shit.
 
Madai yao ni kampeni dhidi ya maambukizi ya Ukimwi. Ndiyo maana wanaweka condoms dispencer chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…