Ngono maofisini

WASHAMBA HAO.KWANZA HUYO MWANAMKE MKE WA MTU UNASALITI NDOA YAKO KWA KUJIRAHISI HVO,CHOONI ? TENA CHOO CHA OFSINI? SASA HAPO ANAFAIDI NINI? NI MIHEMKO GANI IYO ALIYONAYO?

MIMI HATA HOTELI YA TSH SILALI

UPUUUZI MTUPU
WAPAMBE MSINIJADILI:focus:

ukipelekwa ya USD au PAUND unaliwa Kitu?
 


Mimi hapo nahudhika zaidi pale wanapotupa zana zao chooni alafu baada ya siku mbili kinaziba na kuanza kutoa harufu ofisi nzima.Hapa ofisini kwetu imetokea zaidi ya mara tatu,choo inaziba,ukiita wazibuaji wanatoa ndom..... na wanabaki wanatushangaa!
 
Mimi hapo nahudhika zaidi pale wanapotupa zana zao chooni alafu baada ya siku mbili kinaziba na kuanza kutoa harufu ofisi nzima.Hapa ofisini kwetu imetokea zaidi ya mara tatu,choo inaziba,ukiita wazibuaji wanatoa ndom..... na wanabaki wanatushangaa!

Nadhani siku hizi wengi wetu tunaongozwa na viungo vya uzazi, na sio ubongo!Lol
 
Inaweza kuwa poa tu vile vile! Labda ndo shughuli za kiofisi zinavyoratibiwa utafanyaje? wengine vikao wanakaa boardroom may be wao toilet!
 
Jamani si wanasema mapenzi ni uchafu vile vile mapenzi popote imradi tu watu hawawaoni mkichafuana sasa hapo unaweza mkunamisha mtu usiku pembeni ya barabara au mtaroni au juu ya kaburi popote pale imradi ukate kiu.
 
Every body has the right to misbehave kwa mujibu wa katiba ya kale
 
Tatizo wanaJF wengi washamba.. mmekaa kizamaaaaniiii...
mnadhani kutiana ni chumbani tu...tena kitandani mmoja juu mwingine chini....
Za kuvizia ndo dili...raha yake haina mfano...
tatizo hapa ni kuwa tu huyo kazini na mke/mme wa mtu kushney...na mimi nilivo na wivu nikukamata na
mke wangu you are dead..haijalishi ulimtongoza au yeye ndo alikuzawadia
 
mi sioni cha ajabu tatizo la sisi watz tunapenda kukuza mambo ya wenzetu lakini yako unabana uwa tunajiona wasafi usikute mtoa mada na yeye ndo zake .
 

mapenzi hayana usomi, na hao wana pepo wa ngono maana kwa ofisini tena watu wakiwepo kazini sipati picha hiyo nyege walizonazo hata za kuku zina nafuu. ila kwa maofisini ni vitu vya kawaida sana wengi wana michezo hiyo ila chooni tena wamezidisha. nafahamu kwenye wizara moja kubwaa director wa personnel & admin alikuwa na tabia hiyo anawalala wasichana ovyo kwenye carpet au makochi ya ofisini kwake, tena hasa hawa wanaofanya usafi wa makampuni ndio balaa, na masekretary wake wakikaa ofcn kwake lazima awalambe wakikataa atawafanyia visa na kuwatupa ofisi isiyo na malupulupu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…