The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota mnazobadilishana mnapofanya ngono.
Kabla hujafanya ngono ni muhimu ukumbuke kuwa kila tendo la ngono mnabadilishana roho na nyota zenu. Kama sio muhimu usiuze au kubadilishana roho na nyota yako kwa wanawake usiowajua vizuri
Kuna hatma nyingi tumezizika kwenye ngono. Kuna nyota nyingi tumeziuza au kubadilishana kwenye ngono kisha tukapokea mikosi, mabalaa na nuksi kutegemea na ni wanawake gani umelala nao.
Linda UTU wako, Linda nyota yako, linda roho yako na linda afya yako.