Ngono zembe yatawala hiki kijiji, ina maana hawaogopi UKIMWI

aisee,hii ni hatari Sana.HV kwani huko vijijini hakuna serikali.Ina maana hawaoni maovu yanayoendelea hapo?au ndo wako busy na kampeni?mungu atunusuru na balaa hili.
 
aisee,hii ni hatari Sana.HV kwani huko vijijini hakuna serikali.Ina maana hawaoni maovu yanayoendelea hapo?au ndo wako busy na kampeni?mungu atunusuru na balaa hili.
Hali hii iko nchi nzima, hata hspa Manzese kwa mfuga Mbwa,au Uwanja wa fisi,, watu hawasubiri jua lizame.
Mungu atunusuru na janga hili.
 
andaa mpango wa kujenga shule maalum kwa ajili ya hao watoto wa kike ili wasipotee,... halafu shule ile ipate michango ya mabilioni, halafu uone wabongo watakavyokuita mwizi....:becky:
 
Maadili yana potea wadogo zetu wanaaribika ss wakubwa wao tunajitia uhayawani japo sote tutakuwa kwenye dimbwi la majuto...
 
Pole yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…