Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani "hapa kazi tu" inayoonekana kwenye ndege za ATCL ni kauli mbiu ya taifa?ndege aliyopanda edo kumbwembeView attachment 1298695
Ipo Tz lakini hatuitumii ipasavyo ndio maana Wakenya wanatamani ingekuwa kwao kama wanavyotamani K’Njaro ingekuwa KN.ndege aliyopanda edo kumbwembeView attachment 1298695
Za kwetu Ni Happ kazi tuuuu😂😂😂😂😂😂😀😀😃9ndege aliyopanda edo kumbwembeView attachment 1298695
Air Tanzania hioalafu ndege za Tanzania mmeandika "Hapa Kazi Tu"
waacheni wakenya waendelee kutuuzia utalii wetu sisi tuendelee kufanya siasa uchwara.