figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hao ni chama kimoja
Kama ni chama kimoja kuna haja gani ya yeye kuhama chama? Si akiwa ACT ni kama vile yuko CCM?Hao ni chama kimoja
amefanya uamuzi huru na sahihi sana wa kisiasa huyo diwani,Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mojah ametangaza uamuzi huo jijini Arusha alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, akisisitiza dhamira yake ya kuendelea kuwatumikia wananchi wa Ngorongoro akiwa ndani ya CCM.
“Baada ya tathmini ya kina, nimebaini kuwa chama nilichokuwemo hakikuwa katika mwelekeo sahihi wa kuwatumikia wananchi. Nimeamua kujivua uanachama wangu na kurejea katika chama changu cha awali,” amesema Mojah.
Ameeleza kuwa kurejea CCM kutampa fursa pana zaidi ya kuwatumikia wananchi kwa ufanisi, akibainisha kuwa aliwahi pia kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa kata hiyo akiwa ndani ya chama hicho.
Mojah alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwa diwani pekee wa upinzani katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro.
Diwani? STD7 FailureDiwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM).