kiplagati26
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 305
- 135
Mapigano yanayoendelea katika wilaya ya Ngorongoro kati ya Wamasai na Wasonjo yamefikia sehemu mbaya, chanzo kikubwa ni kuuliwa kwa kijana wa kisonjo katika kijiji cha Sonjo na hivyo kuzua mapigano makubwa sana mbaka jana tayari kabila ili la wasonjo limeingia mpakani mwa kenya na kuwapokonya wamasai na huku ngombe zaidi ya mia tano 500, Na wamasai wa Tanzania wameweza kuwapolwa ng'ombe zaidi ya 2500.
Rais kikwete alitoa mgao wa ngombe kwa jamii ya kimasai mwanzoni mwa mwaka huu na mwanzoni mwa mwezi huu wa nane 8 hata hivyo kinachosikitisha ni askari wa jeshi la polisi kuchelewa kuzuia haya mapema kwani hali hii ujitokeza kila mara, shukrani kwa kutumia chopa 2 za jeshi la polisi kutafuta ngombe kwani hali si swali kabisa.
Kabila la wasonjo ni hatari sana kwani ndio walileta madhara ya 2004 kununua silaha toka kwa wasomali na kusaidiana kuwapokonya chakula na mifungo wamasai rushwa nayo bado inajipenyeza hasa pale mauaji yanapotokea kufanywa na kabila la kisonjo please kesho ni siku ya sensa hali si shwari.
IGP Mwema shusha askari wa kutosha serikali tunaomba kuchukua hatua za haraka sana iwezekanavyo