Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali.
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Kama ni kwa ajili ya kulinda mazingira ya Ngorongoro, na sasa tuna tukio la kimazingira, tunataka serikali iwajengee wananchi wa Hanang nyumba za kusihi.
Wananchi hawa wamepoteza mali na ndugu zao. Hatuiwezi kuwaacha tu na kusema wamepewa mahema. Hao hao JKT wakajenge nyumba Hanang kwa haraka. Ikiwezekana zoezi la Ngorngoro lisimamishwe.