[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natogoha u nene
Na utakufa kweli we aya.
Ebu acheni kujifanya mnanandika kilugha hapa, kibantu ni kimoja kwa makabila yote kasoro ni matamshi tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiogope ila uache
Sent using Jamii Forums mobile app
Full mzuka inakuaje kaka
Basi Uwasalimie akina Ben saanane waambie tupo njiani tunakuja kuungana naowe live once bwana wee
Naomba tena ile avatar uirudishe please[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yeehhhh....[emoji134] [emoji134]
Comrade, nipo kwenye mchakato wa kuirudisha sooner
Nene na shidugugu doho yeneyo ikibizagha yabatale ( forgive my sukuma)Hahhahaha natabehaga onene...alo bebe okabehaga?
Aman kaka jukwaa linasemaje dingi nilikuwa nje ya ulingoFull mzuka inakuaje kaka
Aisee unampa RIP in advanceBasi Uwasalimie akina Ben saanane waambie tupo njiani tunakuja kuungana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Uwasalimie akina Ben saanane waambie tupo njiani tunakuja kuungana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Badili jina kama wataka watu wote. Ukabila mnataka kutambika?Aman iwe juu yenu wakuu
Karbu sana tupige story mbili tatu kuhusu Maisha ya hapo kale wazazi na sehem tunazotoka
Jukwaa hili siyo la wasukuma peke yao ila ni la watu wote, nimeamua kuandika ngosha maana ngoshas kama ngoshas ndo watu wenye misimamo sana
Karbun akina mayoo wote jisikien mko nyumban
Karbu tupige story
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app