Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Je hii ilikuwa Tamthilia, hekaya ama uhalisia?
Je inaweza kuwa vyote vitatu?
Mazingira yalikuwa kijijini.. Na Ngoswe alienda huko kama afisa wa serikali kuhesabu wanakijiji kwenye zoezi la Idadi ya watu maarufu kama sensa, miaka hiyo ya sabini na ushee...
Ngoswe akazama penzini na mmojawapo wa wanyange pale kijijini hali iliyomfanya avurunde na kuvuruga zoezi zima la sensa ya kuhesabu wananchi wa eneo lile
Hakuna jipya chini ya mbingu, mambo ni yaleyale bali huja na kupotea kulingana na mahitaji ya nyakati
Miaka kumi nyuma Ngoswe mpya alitokea tena..lakini this time mazingira hayakuwa ya kijijini
Japo wanakaya walifunika kombe ili mwanaharamu apite lakini pembe la ng'ombe daima halifichiki na daima penzi ni kikohozi..huwezi kukibana
Bawasiri ni aina ya maradhi yanaweza kuitwa ya aibu. Haystacks hadharani na aliye athirika.. Lakini kadiri yanavyozifi kukaza wandewq huanza kupata fun unu.. Na fununu huzaa tetesi.. Tetesi ikikoma huwa habari zilizovunjika aka breaking news.
Ya katibu kata na mwenyekiti wetu wa mtaa.. Ni bawasiri iliyomtafuna vema mwathirika.. Hasikii haambiliki na pengine hayuko tayari kwa tiba.. Ama yu muhali hoi bin taabani anahitaji msaada wa haraka sana
Ngoswe: Penzi kitovu cha uzembe!
Ni Tamthilia?
Ni hekaya?
Ni uhalisia?
Tanganyika!