iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
ni vipele visivyo na kitu ndani ila vigumu vinazidi kututumka na kusambaa vipianza kifuani shingoni sasa hadi usoni nimeenda hospital mara nyingi dawa nimetumia ila hazisaidii
msaada wenu jamani mwenye kujua dawa na kinga yake
Pole sana, ni ngumu kujua tatizo ni nini na huko hospitali sijui ulipewa dawa gani, ila kama hujatumia hii dawa basi tumia sasa, ni Penicillin V, Inafahamika kama PENIV, hii ni antibiotic, kama we ni kijana au mtu mzima basi kunywa vidonge viwili mara tatu kwa siku( 2×3) kwa siku kumi(10). yaani ukinya saa moja asubuhi,kunywa tena saa nane mchana, na unywe tena saa nne usiku.
Angalie usije ukute ni chakula au mafuta umebadilisha ndo maana imekuja hayo madude penda kunywa maji sana uso utakuwa soft pia mazoezi muhimu sana