Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
.............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una pepo la kupausha ngozi Mtafute Mchungaji Kakobe akuombeeSababu ya hali ya hewa yenye upepo sana, jua kali na pia maji ya chumvi huku kanda ya kati...
hali imekuwa si shwari kwenye ngozi yangu napauka zaidi ya maelezo, nimejaribu kutumia lotion za aina mbalimbali lakini naona zinadunda ngozi imekuwa kama gome la mti.
ni lotion moja tu niliitumia atleast ikanisaidia "Queen Elizabeth cocoa butter" ilivoisha sijabahatika kuipata tena nimeitafuta muda mrefu sasa bila mafanikio
Jf doctors help please, ni jinsi gani naweza kukarabati hii ngozi yangu???
ni mafuta gani au lotion naweza tumia ikanisaidia???
Tumia Baby care, pole kwa kukaukwa ngozi...
tafuta hela kwanza,ukishazipata hauta pauka tena
Tumia extra virgin olive oil au coconut oil...they are best moisturizer for dry skin...
Nashukuru mdada ngoja nijaribu...
Sababu ya hali ya hewa yenye upepo sana, jua kali na pia maji ya chumvi huku kanda ya kati...