traveller_me
Member
- Nov 14, 2013
- 8
- 3
Nimekuwa nataabika na tatizo hili kwa muda Sasa... Kila nikitoka kuoga basi dakika kumi nitakuwa nawashwa sehemu mbali mbali za mwili tena katika hali ya kukera kabisa.. hii husababishwa na nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo tatizo tunalo wengi ni kama allergy dawa ni kuoga maji moto.Nimekuwa nataabika na tatizo hili kwa muda Sasa... Kila nikitoka kuoga basi dakika kumi nitakuwa nawashwa sehemu mbali mbali za mwili tena katika hali ya kukera kabisa.. hii husababishwa na nini
Dawa na kuoga maji ya uvuguvuguNimehangaika na huo ugonjwa na nimetumia kila dawa lkn bado ugonjwa uko palepale. Kujikuna mpaka kichefuchefu na kuwa na hasira