Nimekuwa nataabika na tatizo hili kwa muda Sasa... Kila nikitoka kuoga basi dakika kumi nitakuwa nawashwa sehemu mbali mbali za mwili tena katika hali ya kukera kabisa.. hii husababishwa na nini
una blood infection au minyoo ya muda mrefu kapime uanze dozi upone, badilisha life style pendelea kula matunda, mbogamboga, samaki na nyama kwa mbali badala ya soda, juisi za viwandani na vyakula vya viwandani au pombe utanishukuru