Manii zinahitaji almost fixed temperature... Hivyo kushuka na kupanda ni katika kuhakikisha manii zinabaki kwenye constant temperature...Ngozi ya makende hutanuka sana wakati wa joto na kufanya yashuke sana chini. Wakati wa baridi hujirudi na kuwa kudogo km kawaida. Je kuna tatizo gani?
So hamna tatizo?
Hamna tatizo kabisa.
Ila haikuzuii kupata ukimwi. Be safe
Hahahah jamani King'asti huyu wa kujichunguza hivi huyu hata demu hana nahisi!!!! Mi sikumbuki mara ya mwisho niliangalia 'ngozi ya makende' yangu!!!!
Ngozi ya makende hutanuka sana wakati wa joto na kufanya yashuke sana chini. Wakati wa baridi hujirudi na kuwa kudogo km kawaida. Je kuna tatizo gani?
Mkuu sipati picha kitambi unachomiliki hadi ushindwe kuona P.umbu otherwise utakuwa unafuga Boby Marley hapo down
Hahahah jamani King'asti huyu wa kujichunguza hivi huyu hata demu hana nahisi!!!! Mi sikumbuki mara ya mwisho niliangalia 'ngozi ya makende' yangu!!!!
du we mwanamke hahahahahaha
Manii zinahitaji almost fixed temperature... Hivyo kushuka na kupanda ni katika kuhakikisha manii zinabaki kwenye constant temperature...
NB: Mimi si dackatri, ila hayo ni kwa mujibu wa bayoloji niliyoisoma nilipokuwa fom 2.