Ngozi ya watu weusi zinachelewa kuzeeka kulinganisha na ngozi za wazungu

Ngozi ya watu weusi zinachelewa kuzeeka kulinganisha na ngozi za wazungu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ngozi ya watu weusi inachelewa kuonyesha dalili za uzee ikiwemo kukunjana. Hii ni kutokana na maumbile yetu.

Tukiweza kuimarisha huduma zetu za afya tunaweza kuishangaza dunia kuweza kuishi kufikia miaka 150.

Aging Differences in Ethnic Skin

Neelam A. Vashi, MD, Mayra Buainain De Castro Maymone, MD, MSC, and Roopal V. Kundu, MD

Differences in the concentration of epidermal melanin makes darkly pigmented persons more vulnerable to dyspigmentation, while a thicker and more compact dermis makes facial lines less noticeable. Ethnic skin comprises a large portion of the world population. Therefore, it is important to understand the unique structural and functional differences among ethnicities to adequately treat the signs of aging.

1593512623458.png
Oprah Wilfred alizaliwa mwaka 1954

1593512729331.jpeg

Sarah Ferguson alizaliwa 1959
 
Ngozi nyeusi inapambana na kila hali ya ugumu wa maisha ndio maana inamudu hali zote haiwezi zeeka kirahisi hivyo.
 
Ukiachana na hao wa nje tukija kibongo bongo kwa weusi. Stress na umasikini vinazeesha fuatilia utaona haijalishi cha ngozi nyeusi wala nini
Ngoma na dance vilitumika na wahenga wetu kukabiliana na stress. Inabidi tujifunze mbinu za kupambana na stress kama counselling.
 
Ngoma na dance vilitumika na wahenga wetu kukabiliana na stress. Inabidi tujifunze mbinu za kupambana na stress kama counselling.
Stress linaleta hili lizee bana Kijana hana ajira kila siku stress tu ataachaje kuzeeka mapema
 
Sasa unatumia watu wawili kutoa mjumuisho? Inawezekana hizo sample ni outliers.
 
Hata Japanese na Koreans huwa hawazeeki haraka anaweza kuwa ana 50 lakini utafikiri ana 40 au 35 yrs
 
Back
Top Bottom