Ngozi ya watu weusi zinachelewa kuzeeka kulinganisha na ngozi za wazungu

[emoji23][emoji23][emoji23]wakati umri halisi ni.....sema, nasema su!!![emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Labda utuwekee hapa za wanaume. Wanawake wanajipaka rangi, wengine wanafanyiwa upasuaji... Kwa hao uliotumia, I am not convinced yet.
 


Oprah Winfrey ni dada yako??? Mbona mmefanana sana!!.
 


Black never cracks, lakini utaona akina dada wa kiafrica wakijipaka mikorogo (skin lightening creams) kama hawana akili nzuri.

Ilianzia hasa kwa wale Boney m sisters hatimaye ikaja huku Africa.

Sasa ni muda muafaka wa akina dada zetu kuacha upuuzi na ujinga huu.

Black is beauty white is just a show case.
 
Mkuu huwa nachefukwa nikiona li mmama limejikoboa!
 
Dada Sky hapa cjakuekewa vizuri, hapo umezubgumzia ngozi, lakini umemalizia na maisha ya mwili mzima, cjui ulimaanisha nn, niekewavyo Mimi, moyo,figo,main I Na mapafu ni tissue za mwili muhimu zaidi kuliko ngozi, ngozi inaweza kuobyesha makunyanzi kwa mufa nrefu Na bado ukaendelea kuishi iwapo hizo tissue zipo vizuri, ila huwez fika miaka hamsini kama moyo au figo zipo vibaya, Umemlinganisha Oprah Na Sarah, ukarelate Na maisha yao kwa kuabgalia makunyanzi usoni, hiyo haitoshi, issue ni figo,moyo nk , Lakn Oprah kama amepaka pouda Tu kuficha makunyanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…